Huduma
za TDIC
Kituo chetu kinatoa huduma zifuatazo kwa
umma:
• Maktaba ya wazi kwa ajili ya marejeo/Maktaba
iliyoshehenezwa machapisho ya maendeleo
kuhusu Tanzania.
• Upatikanaji wa taarifa zinazohusiana
na maendeleo katika Mtandao kwa kutumia
kompyuta za kituo.
• Kuunganishwa na kanzi za umma na
mitandao inayohusiana na maendeleo.
• Upatikanaji wa machapisho ya wadau
wa maendeleo.
• Upatikanaji wa machapisho kwa ajili
ya mashirika ya ndani. .
• Nafasi kwa ajili ya maonyesho.
• Machapisho ya bure kama sehemu ya
huduma ya habari kwa umma
TDIC inatoa huduma kwa umma kama ifuatavyo:
Jumatatu-Ijumaa Kuanzia saa 3.00 asubuhi
– 10.00 jioni
Jumamosi, Jumapili na Siku za Sikukuu: Haifunguliwi
na kunaweza kuwepo mabadiliko bila kutoa
taarifa.
|