Karibu
katika Kituo cha Taarifa Za Maendeleo Tanzania
( TDIC)
Kituo cha
Taarifa za Maendeleo Tanzania (TDIC) kinatoa
huduma za mambo ya maendeleo na kinakusanya
taarifa mbalimbali kutoka kwa wadau na kuziweka
sehemu moja kwa wasomaji. Watu wote wanaweza
kutumia kituo hiki hasa wanaokusanya taarifa
za machapisho(researchers), wanataaluma
(academicians) waandishi wa habari na wote
wanaohitaji taarifa za maendeleo.