TDIC - Home Page
 
 
     

 
Advance Browse Catalog:
advanced search    
 
Tafuta haraka machapisho:
 
Public SERVICE REFORM PROGRAME in pursuit of Quality Public Services   English Kiswahili
 
 
   TDIC - Home Page
Muongozo
Kuhusu TDIC
Huduma zetu
Wadau
Madhumuni ya TDIC
Jinsi ya kushirikiana
Maktaba
Wasiliana nasi
 
Wadau:
  Benki ya Dunia
  British Council
PO-PSM- Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
ESRF - Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Kicuchumi na Kijamii.
TCCIA - Kituo cha Biashara Viwanda na kilimo.
CIDA - Shirika la Kimataifa la Maendeleo Kanada.
TGDLC - Kituo cha Tanzania cha Mafunzo ya Maendeleo ya Dunia
UNESCO Shirika la Umoja wa Mataifa kuhudumia, Elimu, Sayansi na Utamaduni.
NEMC - Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira.
IFM - Chuo cha Usimamizi wa Fedha.

TDIC - Kuhusu sisi
 
    Kuhusu TDIC
 
  kuhusu TDIC

Kituo cha Habari za Maendeleo Tanzania (TDIC) ni mpango wa kuhamasisha ubia wa serikali, mashirika ya umma, mashirika ya nchi mbalimbali, unaoendeshwa na Kituo cha Tanzania cha Mafunzo ya Maendeleo ya Dunia (TGDLC) kilichopo Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).

TDIC imeanzishwa ili kuhamasisha matumizi na upatikanaji wa habari ili kuboresha ufanisi wa programu za maendeleo nchini Tanzania. Kwa kutumia rasilmali za kituo, wanafunzi, umma, watafiti na watunga sera wanaweza kupata taarifa mbalimbali kuhusu maendeleo.

 



 
 

TDIC - Home Page
 
Muongozo | Kuhusu sisi | Huduma zetu | Wadau | Jinsi ya kushurikiana | Madhumuni ya TDIC | Maktaba | Wasiliana nasi
© Kituo cha Habari za Maendeleo Tanzania- 2005.