TDIC - Home Page
 
 
     

 
Advance Browse Catalog:
advanced search    
 
Tafuta haraka machapisho:
 
Public SERVICE REFORM PROGRAME in pursuit of Quality Public Services   English Kiswahili
 
 
   TDIC - Home Page
Muongozo
Kuhusu TDIC
Huduma zetu
Wadau
Madhumuni ya TDIC
Jinsi ya kushirikiana
Maktaba
Wasiliana nasi
 
Wadau:
  Benki ya Dunia
  British Council
PO-PSM- Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
ESRF - Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Kicuchumi na Kijamii.
TCCIA - Kituo cha Biashara Viwanda na kilimo.
CIDA - Shirika la Kimataifa la Maendeleo Kanada.
TGDLC - Kituo cha Tanzania cha Mafunzo ya Maendeleo ya Dunia
UNESCO Shirika la Umoja wa Mataifa kuhudumia, Elimu, Sayansi na Utamaduni.
NEMC - Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira.
IFM - Chuo cha Usimamizi wa Fedha.

TDIC - Ushirikiano
 
    Ushirikiano
 
  Ushirikiano na TDIC

TDIC imepata ushirikiano wa awali kutoka serikalini, wadau wa maendeleo na mashirika yafuatayo:
• Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma (PO-PSM)
• Kanada, Serikali ya Kanada (CIDA)
• British Council
• Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)
• Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
• Taasisi ya Utafiti wa masuala ya kiuchumi na kijamii (ESRF)
• Tanzania Chamber of Commerce Industries and Agriculture (TCCIA)
• Kituo cha Tanzania cha Mafunzo ya Maendeleo ya Dunia (TGDLC)
• United Nations, Education, Scientific andCultural Organization (UNESCO)
• Benki ya Dunia


Jinsi ya kushirikiana na TDIC


TDIC inashirikiana na watu binafsi, vikundi na asasi, kwa njia mbalimbali:
• Mchango wa moja kwa moja: Wadau wa maendeleo wenye nia ya kuhamasisha maarifa na taarifa kwa ajili ya maendeleo wanaweza kutoa michango ya fedha taslimu au mali kusaidia gharama za uendeshaji wa Kituo.

• Majadiliano ya Maendeleo: Mashirika au asasi za maendeleo zinazoendesha majadiliano kuhusu maendeleo zinaweza kukodisha suhula za TDIC na kuwasiliana na wadau mbalimbali kupitia Kituo cha Tanzania cha Mafunzo ya Maendeleo ya Dunia (TGDLC).

• Vitabu na Maonyesho: Wadau wa Maendeleo wanaweza kuuza machapisho yao kwa mali kauli, kutoa mchango wa vitabu, CD-ROM na Video kwa ajili ya maktaba, au kutoa vipeperushi vyao kwa ajili ya kusambaza bure, na wanaweza kuweka maonyesho yao katika sehemu za maonyesho za TDIC

 



 
 

TDIC - Home Page
 
Muongozo | Kuhusu sisi | Huduma zetu | Wadau | Jinsi ya kushurikiana | Madhumuni ya TDIC | Maktaba | Wasiliana nasi
© Kituo cha Habari za Maendeleo Tanzania- 2005.